"Ninawapongeza sana kwa kuahidi kufanya kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huu kwa kuzingatia maslahi ya taifa," alisema na kuahidi kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inawaasa wafuate sheria za nchi katika kutafuta ushindi kwenye uchaguzi mkuu na si vinginevyo. Tundu Antipas Lissu – 405 2. Profesa Lipumba pia alizungumzia suala la wananchi kukosa fursa, akinukuu utafiti uliobainisha kuwa nchi inashika nafasi ya 148 kati ya nchi 153 ambazo watu wake hawana furaha duniani. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje. Hamza Fumo September 9, 2020 - 2:10 pm. Lowassa aliyekuwa mgombea wa CHADEMA alikuwa pia anaungwa mkono na uliokuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) uliokuwa ukiundwa pia na Chama cha Wananchi (CUF), NNCR- Mageuzi na National League for Democracy (NLD). Profesa Lipumba anaamini zaidi katika sera za soko huria na, falsafa ya uliberali, ambayo ndiyo itikadi ya Chama cha Wananchi, Tundu Lissu ndiye mgombea urais wa chama cha Chadema. Mgombea urais kupitia CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema akichaguliwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi atahakikisha anamaliza changamoto ya ajira nchini Tanzania. Hadi sasa wagombea zaidi ya vyama 10 vya kisiasa wamechukua fomu za uteuzi wa Urais Tanzania, wagombea wanawake hawakua nyuma kutia nia zao katika nafasi kubwa zaidi nchini humo. Kama ilivyo kwa wagombea wengine kutoka vyama vidogo, Kadege ana nafasi ndogo ya ushawishi wa kupata nafasi hii. Muchunguzi anasimama kama mgombea wa urais kupitia chama cha NLD. Mwaka 2010 aliwania Urais wa Tanzania kupitia chama cha Tanzania Labor Party (TLP). Amezaliwa mwaka 1974. HOME; MAGAZETI; SIASA; UDAKU; CONTACT US; PAKUA APP YETU YA TUJUZANE. Wagombea wengine katika mchakato huo walikuwa Eng. Spunda aliwania urais 2010 kupitia chama cha NCCR Mageuzi lakini akapata asilimia 0.3 ya kura. Fumbo ni mwenyekiti wa chama cha DP na amekua ndani ya chama hiko kwa zaidi ya miaka 15 kama mwanachama na kiongozi. TLP kumpitisha Rais Magufuli kugombea urais 2020 *Yaeleza chama hakina mwenye kiwango cha JPM; CHAMA cha Tanzania Labour Party (TLP), kinatarajia kupitisha jina la Rais John Magufuli, kuwania nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwa vile TLP haina mpango wa kutangaza mgombea anayepingana na Rais. Huyu ni mgombea wa kwanza kuchukua fomu katka nafasi ya kiti cha Urais kupitia chama cha AAFP. Ameeleza hayo Jumanne Oktoba 20, 2020 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya mji mdogo wa Mahuta Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara. Akizungumza wakati wa kufungua mkutano huo, Profesa Lipumba alisema ilani ya uchaguzi ya chama hicho bado inaamini katika kutoa kipaumbele cha nchi kuwa na Katiba mpya inayompa Mtanzania uhuru wa kweli wa kuchagua na kuchaguliwa. Ikitokea Maalim Seif atagombea au hatagombea tena urais kwa tiketi ya upinzani, kivuli chake bado kuna kila dalili ya kuendelea kutesa hata baada ya CUF kubaki vipande vipande. CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kuwa majina ya wagombea urais walioomba ridhaa ya kupitishwa na chama kupeperusha bendera ya chama hicho yatajulikana Julai 27. Samia Suluhu Hassan ndiye rais mpya wa Tanzania. Ni mapya urais 2020. Mgombea mwingine wa kike aliyechukua fomu za uteuzi kutoka tume ya taifa ya uchaguzi ni Bi Mwanga anawakilisha chama chake cha Demokrasia Makini. Na. Ikiwa atapatiwa radhaa basi atamalizia kipindi cha miaka mitano ijayo na kukamilisha mihula miwili kama inavyosema katiba ya Tanzania. MAGAZETI YA LEO KURASA ZA MICHEZO. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimempitisha mwanasiasa Tundu Lissu kuwa mgombea Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Na. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateuwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya SAU, Bw. Kauli hiyo ameitoa mapema leo jijini Dar es Salaam wakati ß na kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Temeke ambapo amesema uongozi anaujua vizuri na anayajua matatizo yaliopo katika Kata hiyo. Ni wakili wa Mahakama Kuu anayehudumu kibinafsi. Ni mhitimu wa masomo ya Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Shahada ya Uzamili katika Uhusiano wa Kimataifa aliyoipata katika Chuo Kikuu cha John Hopkins nchini Marekani. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Bernard Kamillius Membe huyu ni Mgombea wa urais mwenye ushawishi wa aina yake, amewahi kuhudu katika nafasi mbalimbali ikiwemo kuwa waziri wa mambo nje na ushirikiano wa kimataifa. WALIOKUWA Wabunge wa Chama cha CUF na sasa Wamejiunga na CCM, wakifuatilia hutuba ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. 10:46 AM. Chama hiki ni miongoni mwa vyama vidogo nchini Tanzania na hakina ushawishi mkubwa. Kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, ana sera ya kuimarisha sera na sheria za biashara ili ziwe Rafiki. Alizaliwa katika kijiji cha Rondo, mkoani Lindi mnamo Novemba 9 mwaka 1953. CCM, na CUF zaendelea na kampeni za urais Tanzania 29.09.2020. Ameeleza hayo Jumanne Oktoba 20, 2020 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya mji mdogo wa Mahuta Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara. Mahona amesimamishwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya urais, NRA ni miongoni mwa vyama vidogo nchi Tanzania. ''Serikali itakayoundwa na CUF chini ya dira ya mabadiliko, itatoa kipaumbele maalumu katika kuwaendeleza kielimu wasichana na kujenga misingi imara ya kuendeleza elimu ya hisabati, sayansi na teknolojia,'' Profesa Lipumba alisema. Malunde Friday, October 9, 2020 Mgombea urais kupitia CUF Profesa Ibrahim Lipumba. Hussein Mwinyi(hayupo pichani) wa kwanza kulia aliyekuwa Mbunge wa Chakechake Mhe. Alikumbusha kuwa mwaka 1996, Rais mstaafu Benjamini Mkapa, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa, alianza kutoka ruzuku kwa vyama vya siasa na CUF walikuwa miongoni mwa vyama vilivyonufaika na ruzuku hiyo. EXCLUSIVE : MutamwegaMgaywa , Mgombea Urais kupitia chama cha SAU : Cecilia Mmanga, Mgombea Urais kupitia chama cha Demokrasia Makini Wameshiriki katika uchaguzi kwa miaka tofauti na si mara nyingi wanasimamisha mgombea Urais. IDADI ya wagombea waliochukua fomu za kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea urais wa Tanzania wamefikia 16 baada ya jana wengine wanne kujitokeza, huku uchukuaji fomu hizo kwa upande wa Dodoma ukifungwa. Lissu amewahi kuhudumu katika bunge la Tanzania akiwa ni mbunge wa Singida mashariki, pia amewahi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria cha Tanzania (TLS) na mwanasheria mkuu wa CHADEMA. Huyu ni mgombea wa nafasi ya urais na mwenyekiti wa chama cha UMD. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetupilia mbali mapingamizi yote yaliyokuwa yamewekwa na Mgombea wa Urais wa CHADEMA Tundu Lissu dhidi ya Mgombea wa urais wa CCM Dkt John Magufuli na Mgombea Urais wa CUF Ibrahim Lipumba ambapo tume hiyo imesema kuwa wagombea hao wamefuata taratibu zote za sheria ya uchaguzi na hakuna kasoro yoyote walioibaini … Maalim Seif na Wanachama wakuu wa ACT Wazalendo Tanzania. Mutamwega Mgaiwa na Bi. Profesa Lipumba alisema katiba ya sasa haikidhi maendeleo ya demokrasia nchini, hivyo chini ya sera yao ya haki sawa na furaha kwa wote, serikali ya umoja wa kitaifa watakayoiunda, itaandaa utaratibu unaofaa wa kupata katiba mpya ya wananchi yenye misingi ya demokrasia kwa kuzingatia rasimu ya Tume ya Jaji Warioba. Sasa Amarejea rasmi nyumbani na kushirikia katika kuwania nafasi ya Urais. 509 . Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba kupitia Chama cha Wananchi CUF katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dk. Mkutano huo mkuu ulifanyika jijini Dar es Salaam ukiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba. Baadae Shibuda akaamua kuhamia chama cha ADA-TADEA ambapo ndipo anagombea urais kwa sasa. Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea Cuf Huko Zanzibar Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa CHADEMA/UKAWA, Amerejea Cuf hii leo. Thursday, July 30, 2020. Katika uchaguzi huo, Chief Yemba alipata kura 66,049 sawa na asilimia 0.43 ya kura zote zilizopigwa milioni 15.19. Hii ni mara ya tano kugombea nafasi hii. Alikishukuru chama hicho kwa kusimama imara wakati wa mapambano dhidi ya corona na kuungana na Rais Magufuli katika kuhakikisha nchi inaondoka katika taharuki ya ugonjwa huo. Mahona amesimamishwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya urais, NRA ni miongoni mwa vyama vidogo nchi Tanzania. 10:46 AM. Je Marekani na China wako kwenye vita baridi'? Mapema mwaka huu alifutwa uanachama wake kutoka chama tawala cha CCM kisha kaamua kuhamia chama cha ACT Wazalendo na kutia nia yake hii ya kugombea urais. Shibuda amezaliwa mwaka 1950. Tanzania iko tayari kuwa na Rais mwanamke? Msimamo huo umetangazwa leo Jumatatu, Septemba 07, 2020 na mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, Tundu Lissu, katika uzinduzi wa kampeni za CHADEMA visiwani Zanzibar. Lazaro […] Next … Mada Zinazohusiana Tanzania, Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF), Uchaguzi, Uchaguzi wa Bunge la Ulaya 2019, Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020, Uchaguzi Uganda 2021 Maneno muhimu Zanzibar , Urais , … Alex Sonna, Dodoma. Haji alikuwa mgombea Mwenza wa Edward Lowassa katika Uchaguzi wa 2015 wakipeperusha Bendera ya CHADEMA Wakati wa kuchukua fomu, wagombea hawa walienda na aina tofauti ya kuingia bila viatu katika jengo la tume ya uchaguzi na kusema kuwa ni alama kuwa wapo pamoja na wanyonge wasiojiweza. Alikua mgombea was aba kuchukua fomu ya nasafi hiyo. CHAGUE CUF, MCHAGUE PROF. LIPUMBA KUWA RAIS. Nipashe . Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje. Habari. Profesa Ibrahimu Lipumba,Mwenyekiti wa chama cha siasa cha CUF Tanzania. Amewahi kugombea ubunge jimbo la Kawe mwaka 2015 kwa tiket ya ADC. *Wapuuza ‘vikongwe’ wataka uhuru, haki. Rich Mavoko - Naogopa | Download Mp4. Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza, aliyehudhuria mkutano huo, alikipongeza chama hicho kwa kufanya siasa za kisomi na zisizokuwa na matusi na kueleza kuwa hali hiyo inaonyesha dhahiri kuwa kipo imara. © 2021 BBC. Facebook Twitter WhatsApp Telegram Viber Share via Email. Bi Mwanga ameahidi kuwa atafanya kampeni zake kwa kutumia usafiri unaotumika sana vijijini, kama Baiskeli na Guta. Amekua ni mbunge wa jimbo la maswa kwa muda mrefu akihudumu kwa tiketi ya CCM Kisha mwaka 2010 aliamua kujiunga na chama cha CHADEMA. Kufuatia uteuzi wa mgombea huyo chama hicho kiliingia kwenye mtarafuku na kusababisha mgawanyiko uliozaa CUF Lipumba na CUF Maalum ambapo kwa Sasa baadhi ya wanachama wametimkia vyama vingine na CUF Lipumba ikiendelea. Mahoma amekua katoka vyama vingine vya siasa kama CUF kabla ya kujiunga na chama hiki. Alex Sonna, Dodoma. Namna 'tingatinga' John Magufuli alivyoiongoza Tanzania kwa miaka sita, Wafahamu viongozi wa Afrika waliofariki madarakani, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Mabaki ya kipekee ya Biblia yapatikana Israel, Fahamu sababu za nywele kudondoka na tiba yake. Mkutano umefanyika katika viwanja vya … John Pombe Joseph Magufuli alikotokea hadi urais, Chadema: Tuna imani na Samia kuwaletea wananchi Katiba Mpya, Maajabu ya tango katika kupambana na maradhi, Ujenzi reli ya kisasa Mwanza-Isaka kuanza, Tunahitaji sauti moja kukabiliana na nimonia. Alisema chama chao pia kinatilia mkazo umoja wa kitaifa ambao hautakuwa na ubaguzi kwa mtu, akisisitiza kuwa serikali itakayoundwa na chama hicho, itahakikisha inatokomeza njaa na kuimarisha lishe kwa watoto. Kama atachaguliwa anasisitiza juu … Read the full story... Latest news Mwananchi. . Tundu Lissu ni mgombea wa Chama Cha Demokrasia na maendelo (CHADEMA) kwa upande wa Tanzania bara. Ilani hiyo inasisitiza juu yaa ujenzi wa demokrasia, ufanisi na ubora wa huduma za afya pamoja na kilimo cha kimapinduzi na mazingira wezeshi ya kibiashara. Spunda, alikuwa mfuasi sugu wa Tanu na baadaye CCM, na baada ya kuingia kwa siasa za vyama vingi 1992 alisalia chama tawala miaka mingine mitatu kabla ya kujiunga na NCCR Mageuzi 1996. Tangu mwaka 2012, taarifa ya furaha duniani hutolewa ambapo mwaka 2020 Tanzania imekuwa nchi ya 148 isiyokuwa na furaha kati ya nchi 153 duniani kote," alisema. Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amechukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi ya urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu huko katika ofisi za Tume ya Uchaguzi jijini Dodoma leo. Hata hivyo baada ya muda mchache mgombea huyo wa Urais, Lowassa kupitia Ukawa alirejea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Profesa Lipumba alisema chama hicho kitasimamia uchumi na kuhakikisha unakua kwa asilimia 10 kila mwaka ndani ya miaka 10 hadi 15 mfululizo kwa kuweka misingi imara ya kukuza sekta ya kilimo na kuboresha sekta ya viwanda. Mgombea urais kupitia CUF Profesa Ibrahim Lipumba. Khalfan Mohamed Mazrui kutoka chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD). Mohamed Habib Mnyaa aliyepata asilimia 19 za kura na Rajab Mbarouk … ippmedia.com © 1998-document.write(new Date().getFullYear()). Ben Pol ft. Harmonize … Mgombea wa Urais ,Prof.Ibrahim Lipumba akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi CUF katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma. "Mambo muhimu yanayowafanya wananchi kuwa na furaha ni pamoja na jamii inayojaliana, uhuru, ukarimu, kuaminiana, afya njema, kipato kizuri na utawala bora. MGOMBEA URAIS KWA … Lowassa aliyewahi kuwa waziri mkuu, alijiunga na Chadema tarehe 28 Julai mwaka 2015, akitoka CCM ambako hakuridhika na mchakato wa kumpata mgombea urais, hivyo kuamua kutafuta fursa upinzani. Dar es Salaam. Tofauti na miaka iliyopita ya uchaguzi nchini Tanzania, mwaka huu wagombea wa nafasi za urais wamejitokeza kwa wingi. Huyu ni rais wa sasa wa Tanzania na anasaka muhula wa pili wa uongozi wake. Profesa Lipumba alisema serikali ya CUF itahakikisha watoto wote wa Tanzania wana haki ya kupata elimu bora ya msingi, sekondari na elimu ya juu na kila raia ajiendeleze kielimu hasa kwa kutumia vizuri teknolojia ya habari na mawasiliano. Mussa Haji Kombo, wakati wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho zilizofanyika uwanja wa Michezo Tibirinzi Chake Chake Pemba. Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Wananchi (CUF) umempitisha Mussa Haji Kombo kuwa Mgombea wa Urais visiwani Zanzibar kwa asilimia 66 ya kura zote. Lowassa alijiunga na CHADEMA baada ya kujiengua CCM kwa madai ya kutokurishishwa na mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama hicho. *Mgombea kukampeni na guta, baiskeli. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 Chadema walimteua Freeman Mbowe kugombea urais na kushika nafasi ya tatu nyuma ya Prof Ibrahimu Lipumba wa CUF na Jakaya Kikwete wa CCM aliyenyakua ushindi. Mwaka 2015 alijitosa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM) na kushinda nafasi hiyo, hivi sasa anatarajia kutetea nafasi kama atashinda basi atahudumu kwa miaka mingine mitano. Mgomea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema vyama vya upinzani vinakabiliwa na hali ngumu kiuchumi na vinafanya kampeni kwa shida. Kwa upande wa Zanzibar kura zilikuwa 734 ambapo Mussa Haji Kombo aliibuka na kura 538 … Aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Katika uchaguzi huo, Chief Yemba alipata kura 66,049 sawa na asilimia 0.43 ya kura zote zilizopigwa milioni 15.19. John Pombe Magufuli amefika mkoani Kigoma, tazama LIVE mkutano wake wa kampeni kwa kuonyeza PLAY hapa chini. Chama hiki ndio miongoni mwa vyama vya mwisho kufanya maamuzi ya kuteua wagombea wa nafasi hii, kwa upande wa Tanzania bara na Zanzibar. BARAZA kuu la Chama cha Wananchi (CUF ), limemteua kwa mara ya tano , Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mgombea urais wa Tanzania wa chama hicho kwa upande wa Tanzania na kujizolea kura 755 ambapo wajumbe waliohudhuria ni zaidi ya 700. “ Mwaka 2020 hatuna shaka katika nafasi ya Urais mgombea wetu ni Rais Magufuli hatuna wasiwasi kabisa na kiongozi wetu kwa aliyofanya kwa kipindi hiki njia ni nyeupe, lakini … Kutoka maisha ya ufukara hadi kuwa milionea, 'Nilibaini mume wangu anatengeneza picha za ngono', Fahamu umuhimu wa nywele katika sehemu tofauti za mwili, Hadithi ya rais ambaye alikabiliana na corona tofauti na dunia. Nguvu yake ilidhihirika katika matokeo ya urais. Facebook Twitter WhatsApp Telegram Viber Share via Email. “Mwaka 2020 hatuna shaka katika nafasi ya Urais mgombea wetu ni Rais Magufuli hatuna wasiwasi kabisa na kiongozi wetu kwa aliyofanya kwa kipindi hiki njia ni nyeupe, lakini hatujakataza wengine kuchukua fomu wao wachukue tu“, amesema Polepole. Lissu alipigwa risasi akiwa nyumbani kwake mjini Dodoma na kujeruhiwa vibaya mwezi Septemba mwaka 2017, na watu wasiojulikana. Sunday, October 4, 2020. Kitendawili mgombea urais CUF sasa kuteguliwa Julai 27 . cha East Africa BreakFast amesema kuwa alichokifanya Rais Magufuli kwa kipindi hiki kifupi alichokaa madarakani, ni dhahiri kuwa hakuna mwingine atakayepewa ridhaa na chama zaidi yake kugombea 2020. Mgombea urais upinzani pasua kichwa 2020. MGOMBEA WA URAIS CCK ACHUKUA FOMU NEC. Thursday, September 10, 2020. Pia amekua mgombea wa pili kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya chama cha DP. John Magufuli ametangazwa kuwa mshindi wa Urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020, baada ya kupata kura za kishindo dhidi ya wagombea wote 14, akiwemo wa Chadema Tundulisu aliyemfuatia kwa mbali baada ya kupata kura 1,933,271. Pia amewahi kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Igunga kupitia chama cha wananchi CUF. Nguvu ya Lowassa ikawa kubwa zaidi kwa upinzani ambao ulishajipanga kwa kuunganisha nguvu ya vyama vinne; Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD. Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amewaahidi wakazi wa Mombo na Korogwe Mkoani Tanga kuwa atahakikisha anawatafutia masoko wakulima wa mboga mboga ikiwa ni pamoja na kuwaunganisha na masoko ya nje ya nchi. Lipumba anawania nafasi hii ya urais kupitia chama chake cha CUF kwa upande wa Tanzania bara. Votes : 0. Satia Musa Bebwa. Elizaberth Zaya. Je wanawake wana nafasi gani katika siasa za Tanzania? Mwezi oktoba Tanzania inatarajia kuingia katika uchaguzi wa Wabunge, wawakilishi, madiwani na Rais. CHAMA cha Wananchi (CUF), jana kilifanya mkutano wake mkuu ambao pamoja na mambo mengine, ulikuwa na ajenda ya kumpitisha mgombea wa chama hicho kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Zanzibar. Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu akizungumzia kitendo cha Ofisi za Chadema kanda ya Kaskazini kuchomwa Moto na Watu wasiofahamika mapema usiku wa kuamkia leo akiwa Karatu mkoani Arusha. Mussa Haji Kombo, wakati wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho zilizofanyika uwanja wa Michezo Tibirinzi Chake Chake Pemba. Mgombea urais kupitia CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema akichaguliwa kuwa kiongozi mkuu wa nchi atahakikisha anamaliza changamoto ya ajira nchini Tanzania. Wagombea kutoka vyama mbalimbali vya upinzani na chama tawala, walianza kuchukua fomu za kugombea urais mapema mwezi huu. Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wa habari, Mrema ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya… Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 Mgombe Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini kwa tiketi ya CCM Mhe. Kama atafanikiwa kuchaguliwa Muchunguzi anasema kuwa ataweka msisitizo wa kuendelea wakulima na wafugaji pamoja na wavuvi wa Tanzania kuwa na mazingira mazuri ya kufanya kazi kwa faida. Kwa upande wa elimu, ana stashada ya biashara. Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Akizungumzia kampeni zinazotarajiwa kuanza Agosti mwaka huu, Profesa Lipumba alisema chama hicho kimejipanga kuhakikisha kinaendesha kampeni za kistaarabu za kujenga hoja.